![]() | |||
MSAFI DIAMOND AKIWA NA WACHEZA SHOW WAKE LONDON |
Nisengependa kuwachosha na maneno binafsi nimesikitishwa na ujumbe mfupi uliotolewa na msanii maarufu hapa nchini anayeshika nyoyo za wananchi hasa kina dada,Mamiss,Warembo,vijana na Wazee kwa ujumla sio siri msafi huyu anajua ila kwa kauli ya leo niliyoisoma kwenye ukurusa wake wa facebook imenisikitisha sana na nukuu:NASHANGAZWA KWA MITAIRA MENGINE YAN KWA KUPONDA NAMBA MOJA 1 ILA KWA PLATINUM WATASURRENDER AF LONDON NIMEFIKA KWA BIDII YANGU SO HATA MKIPONDA KAZI BURE MUNGU PEKEE NDO ANA UWEZO WA KILA JAMBO SO WEWE TUMBILI.
Hakika hii si kauli hasa kwa Diamond kwenda kwa mashabiki wake ukizingatia wao ndio waliomfkisha hapo alipo na kufanya yeye aseme hivyo leo kwa kweli ina kera sana na si jambo la kuchekewa kabisa.Mimi naamin Diamond ni msanii mzuri na ni kweli ana bidii ila kazi yake hiyo afanye mpaka atoke machozi ya damu bila mashabiki hakuna Diamond nja wala hakuna wasafi kitendo hiki alichofanya binafsi siungi mkono na wala si mpongezi tena inabidi aumbe radhi mashabiki wake.
![]() | ||||||||
Diamond akiwa katika mahojiano na kipindi cha SPORAH TALK SHOW |