Michezo

Daniel Sturridge ameshnda mara mbili katika mechi ya jana kati ya  Liverpool's 6-0 na  Newcastle na kuacha mashabiki na kuacha Newcastle kutoamini kilichotokea jana. Picha na: Ian Macnicol/AFP/Getty Images...
  


Mbali na mcheji wao luis suarez kutokuwepo uwanjani jana kutokana na kufungiwa mechi na kutozwa fine kutokana na kumg'ata mcheji wa Chelsea Ivanovic hata hivyo haikuwakatisha tamaa wana jogoo hao kuwashindilia kichapo hiko newcastle.


Mbali na ilo mashabiki wa liverpool walionekana wakiwashangilia na kuwazomea mashabiki wa newcastle na kuwaambia washuke chini........jana

No comments: