 |
Koccha wa Real Madrid Jose Mourinho |
|
|
Team ya Madrid leo watashuka dimbani huku wakiwa na deni la magoli matatu bila ili kujiwezesha kuvuka na kutinga fainali..ila wakilishi hao wa spain watakuwa na kazi ngumu ya kutafuta namna ya kuwabana MARIO GOTZE na ILKAY GUNDOGAN.
Mbali na madrid kuanzisha miamba yake leo kipind cha mwanzo CR7,ANGEL DIMARIA akifuatiwa GONZALO HIGUAN bdo real madrid watakuwa na kazi ngumu ya kushinda na kufanikiwa wapinzani wao wasiweze kufunga ambalo ni jambo gumu kama kuwazuia kina REUS na ROBERT LEWANDOWSKI.
Jambo ambalo Mourinho leo atakuwa analipa kipaumbile zaidi ni mashambulizi ili kuhakikisha wanapata ushindi wa zaidi ya magoli matatu tena bila kufungwa na kwa mabeki wa real madrid ni jambo gumu na wala si jepesi kuwazuia Dortimund kuondoka bila kupata goli moja ili hali kila jambo linawezekana katika mpira
 |
Mshamuliaji wa Borrusia Dortimund R.Lewandowski |
|
Mashabiki wengi leo wa real madrid watakuwa wanamuhofia huyu jamaa japokuwa watakuwa wanamkaribisha santiago Bernabeu mechi iliyopita alifunga magoli manne peke yake moja likipatikana kwa njia ya penatu
 |
real madrid wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi |
|
Real Madrid | Borussia Dortmund |
Won, 3-2 vs. Manchester City (H) | Won, 1-0 vs. Ajax (H) |
Won, 4-1 vs. Ajax (A) | Draw, 1-1 vs. Manchester City (A) |
Loss, 2-1 vs. Borussia Dortmund (A) | Won, 2-1 vs. Real Madrid (H) |
Draw, 2-2 vs. Borussia Dortmund (H) | Draw, 2-2 vs. Real Madrid (A) |
Draw, 1-1 vs. Manchester City (A) | Won, 4-1 vs. Ajax (A) |
Won, 4-1 vs. Ajax (H) | Won, 1-0 vs. Manchester City (H) |
Draw, 1-1 vs. Manchester United (H) | Draw, 2-2 vs. Shakhtar Donetsk (A) |
Won, 2-1 vs. Manchester United (A) | Won, 3-0 vs. Shakhtar Donetsk (H) |
Won, 3-0 vs. Galatasaray (H) | Draw, 0-0 vs. Malaga (A) |
Loss, 3-2 vs. Galatasaray (A) | Won, 3-2 vs. Malaga (H) |
Loss, 4-1 vs. Borussia Dortmund (A) | Won, 4-1 vs. Real Madrid (H) |
kama madrid leo watashinda itakuwa furaha sana katika jiji la madrid na furaha kubwa kwa C.Ronaldo ukiangalia dunia nzima itakuwa inatima leo atafanya nini kuisaidia team yake na kuinusuru kutoka kwenye michuano hiyo
 |
C.Ronalo | | | |
No comments:
Post a Comment